notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra Superwoman (feat. Zuchu, Abby Chams, Hawa Ntarejea, Keisha, Queen Darleen, Khadija Kopa, Gigy Money, Ruby, Shilole, Rosa Ree, Nini, Malkia Karen, Amber Lulu, Lulu Diva & Zee Cute)

Tanzanian Women All Stars

Superwoman (feat. Zuchu, Abby Chams, Hawa Ntarejea, Keisha, Queen Darleen, Khadija Kopa, Gigy Money, Ruby, Shilole, Rosa Ree, Nini, Malkia Karen, Amber Lulu, Lulu Diva & Zee Cute)

Ayolizer!

[Zuchu]
I'm a superwoman
I'm a superwoman
Hee, superwoman (super)
Superwoman (super)
Superwoman

[Abby Chams]
Mwanamke ni mama, mmmh
Mwalimu wa kwanza duniani
Tumboni alitubeba akatulea
Akatufundisha

[Hawa Ntarejea]
Zile zamu za mwanamke hawezi, hapana
Siku hizi hakuna
Tunashiriki vyema wa nchi ujenzi
Na tena tunajituma, hey

[Lulu Diva]
Hata kulima (tunaweza)
Ooh kushona (tunaweza)

[Amber Lulu]
Rubani unahodha (tunaweza)
Nchi kuongoza (tunaweza)

[Zee Cute]
Udaktari baba
Uaskari dada

[Abby Chams]
Tunaweza
And everybody say

[Zuchu]
I'm a superwoman
I'm a superwoman
Hee, superwoman (super)
Superwoman (super)
Superwoman

[Karen]
Ujasiri silaha yetu
Kujituma ndio sana
Umoja ndio nguvu yetu
Na kushikamana

[Khadija Shaaban aka Keisha]
Jitokeze kugombea nafasi mali mali
Pingamizi hakuna inahitaji utayari
Wewe unaweza, mimi nimeweza
Kwani wewe ushindwe una nini?
Na mimi niweze nina nini?

[Queen Darleen]
Mwanamke ngangari
Mwanamke hodari
Anayejiamini baba alete chumvi
Yeye alete sukari
Mwanamke sio tu vipodozi
Na vipicha vya kichokozi
Siku hizi mwanaume anapenda
Mwanamke ajitume na achape kazi

[Khadija Kopa]
Na sasa kunavyo vikundi vya kusaidiana
Na vikoba vyetu ushindi tunakopeshana
Mkubwa kwenye uongozi tumepata mtetezi
Mama Samia hoyee

[Nini]
Wanawake uvuvi (tunaweza)
Ualimu (tunaweza)

[Gigy Money]
Urubani, unahodha (tunaweza)
Nchi kuongoza (tunaweza)

[Ruby]
Udaktari baba, uasikari mamaaa yeah
I'm a super woman

[Zuchu]
I'm a superwoman
I'm a superwoman
Hee, superwoman (super)
Superwoman (super)
Superwoman

[Rosa Ree]
(It's Rosa Ree)
Yeah am a fine ting, yes am so exciting
Hustle for my own to keep up fighting
You know I can be queen and also be king
Superwoman give me the championship ring

[Shilole]
Nilianza changa changa
Kamtaji kangu chakanga (nga nga)
Biashara ya deni ikanipatia kiwanja
Sasa nina Shishi food (ehee)
Kifupi life is good (ehee)
Na nina Mbezi kibanda

[Zuchu]
Haya kina dada wote msilale (msilale)
Tena msilale (msilale)
Msilale (msilale)
Haya msilale (msilale)
Heee, amkeni muda sasa

Ooh
Jokate Mwegelo (superwoman)
Asha-Rose Migiro (superwoman)
Mama Dangote (superwoman)
Mama Rakatale (superwoman)
Mama Nyerere (superwoman)
Ntulia Atso (superwoman)
Mama Janet Magufuli (superwoman)